Skip to Content

Sasa unaweza kuchagua bidhaa yoyoyte kisha ukailipia kidogokidogo hadi miezi miwili bila RIBA yoyote.

VIGEZO VYA HUDUMA HII

1.Malipo ya mwanzo yasiyopungua 45% ya thamani ya bidhaa/mali husika

2.Bidhaa itachukuliwa baada ya malipo yote kukamilika

3.Endapo malipo hayatotimia kwa kipindi husika (Miezi Miwili) 45% itakatwa kwenye kiasi kilicholipwa na 55% atarejeshewa mteja.

4. Jaza fomu hapo chini kikamilifu ili kujisajili na huduma hii.

Jaza Fomu Hapa


(Mkoa,Wilaya na Mtaa unapoishi kwa sasa)

(NIDA, Leseni ya udereva, Kitambulisho Cha Mpiga kura au Picha ya Passport size)