Sasa unaweza kuchagua bidhaa yoyoyte kisha ukailipia kidogokidogo hadi miezi miwili bila RIBA yoyote.
VIGEZO VYA HUDUMA HII
1.Malipo ya mwanzo yasiyopungua 45% ya thamani ya bidhaa/mali husika
2.Bidhaa itachukuliwa baada ya malipo yote kukamilika
3.Endapo malipo hayatotimia kwa kipindi husika (Miezi Miwili) 40% itakatwa kwenye kiasi kilicholipwa na 60% atarejeshewa mteja.
4. Jaza fomu hapo chini kikamilifu ili kujisajili na huduma hii.